Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
(UVCCM), Mkoa wa Dodoma, Antony Mavunde akirejesha fomu za kugombea nafasi ya
Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya
UVCCM Taifa, Sophia Duma. Zoezi la urejeshaji fomu kwa wagombea wa nafasi
mbalimbali za UVCCM ulitaraji kufikia tamati jana jioni kwa wagombea wote
kutakiwa kutejesha fomu zao.
Mavunde akionesha fomu yake kwa wanahabari
kabla ya kuikabidhi.
Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM
Taifa, Sophia Duma akikagua fomu za Mazinde
Mavunde
akishuhudia ukaguzi wa fomu zake uliokuwa ukifanya na Mkuu wa Idara ya Siasa
Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia Duma
Mmoja wa wagombea wa nafasi za ujumbe wa NEC akirejesha
fomu
Innocent Meleck nae alikuwa ni mmoja wa wagombea wa nafasi
ya Umakamu Mwenyekiti waliorejesha fomu za kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti
wa UVCCM Taifa kwa Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia
Duma.
Daniel Zenda aki
akirejesha fomu za kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Mkuu
wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia Duma.
Lulu Abas Mtemvu nae alirejesha fomu zake za kuwania Ujumbe
wa NEC kupitia UVCCM
Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti wa
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mwanaamina Haji Mbarouk akipiga picha
na Mgombea wa Nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, ambaye pia ni Mwenyekiti wa UVVCCM
Dodoma, Antony Mavunde.
Baadhi ya wagombea wakiwa katika mazungumzo baada ya
kurejesha fomu zao katika Ofisi za UVCCM Dar es Salaam.










No comments:
Post a Comment