KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday, 1 August 2012

MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO
Naibu Waziri wa Afya Dkt, Seif Rashid (kulia) akibadilishana mawazo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juali 31,2012 na Wabunge wa viti maalum Zarina Madabida (kushoto) na Zainab Vullu (katikati . (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Ubungo John Mnyika leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Mbunge wa Simanjiro- Christopher Ole Sendeka(kulia)akizungumza na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (kushoto) pamoja na Mbunge wa Ziwani (katikati) Juma Ngwali,(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 31,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 31,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment