WAFANYAKAZI WA BARCLAYS WAJITOLEA KUFANYA KAZI ZA JAMII KUADHIMISHA ‘MAKE A DIFFERENCE DAY’
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/01-b-2-1024x682.jpg)
(kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), katika mafunzo
kuhusu taaluma za kibenki na ujasiriamali ikiwa ni sehemu ya matukio
ya benki hiyo kuadhimisha siku maalumu ambayo wafanyakazi wake
hujitolea kufanya kazi za kijamii waliyoipa jina la ‘Make a Difference
Day’.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/021-1024x682.jpg)
Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Barclays Tanzania,
Kihara Maina (hayupo pichani) katika mafunzo kuhusu taaluma za
kibenki na ujasiriamali ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo
kuadhimisha siku maalumu ambayo wafanyakazi wake hujitolea kufanya
kazi za kijamii waliyoipa jina la ‘Make a Difference Day’ jijini Dar
es Salaam.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/031-1024x682.jpg)
Mwambeleko (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana,
katika mafunzo kuhusu taaluma za kibenki na ujasiriamali ikiwa ni
sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha siku maalumu ambayo
wafanyakazi wake hujitolea kufanya kazi za kijamii waliyoipa jina la
‘Make a Difference Day’.
No comments:
Post a Comment