KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 8 November 2012

KAMPUNI SIMU ZA MKONONI YA TIGO YATOA OFA KABAMBE YA SMARTPHONE

Meneja wa intaneti tigo Bw.Titus Kafuma akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni inayomuezesha mteja kununua Smartphone yenye kiwango na hadhi ya hali ya juu aina ya Ascend Y200 kwa bunguzo la hali ya juu ambapo amesema wateja watakao nunua simu hizo watapata furusa ya kujishindia bidhaa za promosheni kutoka tigo na zawadi kubwa katika promosheni hiyo wateja kumi watajishindia safari ya kwenda nchini china katika droo itakayochezeshwa mara tano huku kila droo itatoa washindi wawili.katika safari hiyo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
Afisa mahusiano msaidizi kampuni ya simu ya tigo Bi.Mariamu Mlangwa akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo.ulifanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont Hoteli jijini Dar es salaam.
Meneja masoko na usambazaji wa kampuni ya Huawei Technology Bw.Ramadhan Nkanyemka(kushoto),Meneja mahusiano wa Huawei na Tigo Bw.Ma lii (katikati) a Mkurugenzi mtendaji wa Huwawei Bw.Bruce Zhang (kulia)wakijadili jambo mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa promosheni hiyo

No comments:

Post a Comment