LIVE!HIVI NDIVYO MUHESHIMIWA MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA PAMOJA NA DEREVA WAKE WALIVYO SAFIRISHWA KUELEKEA DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI!
MKE WA DEREVA WA MBUNGE ALIYE VAA KHANGA NYEKUNDU WAKIWA PAMOJA NA DR. MAMA KANAMA
DEREVA MH.MBUNGE AKIWA ANAINGIZWA NDANI YA NDEGE SASA
MH. MBUNGE HILDA NGOYE AKIMUAGA DEREVA WA MH.MARY MWANJELWA
DR.NZUNDA WA MBELE AKIWA ANAMPELEKA MUHESHIMIWA MBUNGE KUPANDA NDEGE
MUHESHIMIWA MBUNGE, MARY MWANJELWA AKIWA ANAPANDISHWA KATIKA NDEGE
HII NDIO NDEGE AMBAYO MUDA SI MREFU ITARUKA KUELEKEA DAR ES SALAAM
MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA ABASS KANDORO AKIWA ANAAGANA NA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA
MH. MKUU WA WILAYA WA MBEYA AKIWA ANAMUAGA MH MBUNGE
SHUGHULI YA KUAGA INAENDELEA
VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI
NDEGE HIYO INAONDOKA SASA
WATU MBALIMBALI WAKIPUNGA MKONO WA KWAHELI NA ISHARA YA UPENDO KWA MARA BAADA YA NDEGE KUONDOKA
NDEGE NDIYO HIYO INAKARIBIA KUPAA... KUELEKEA DAR ES SALAAM
****************
TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO NI WAMILIKI WA TONE RADIO-TZ, THIS DAY MAGAZINE PAMOJA NA BLOGS ZA MIKOA, TUNAWATAKIA SAFARI NJEMA WOTE WALIO SAFIRI KATIKA NDEGE HIYO WAPATE FIKA SALAMA.
TUKIO ZIMA LIMELETWA KWENU NA TONE MEDIA LIVE GROUP, AMBAPO PICHA ZOTE ZIMEPIGWA LIVE NA JOSEPH MWAISANGO NA KURUSHWA MOJA KWA MOJA TOKA ENEO LA TUKIO NA FREDY TONY NJEJE .....
No comments:
Post a Comment