RAIS KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA WAFANYABISHARA WA OMAN NA TANZANIA JIJINI MUSCAT
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabiashara wa Oman na Tanzania wakati wa mkutano malum wa uwekezaji aliouandaa kwaajili ya kuelezea fursa za uwekezaji nchini.Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Wafanyabishara wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum wa uwekezaji Tanzania ulifanyika jijini Muscat Oman leo .Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.Pamoja na viongozi waandamizi wa serikali zote mbili.

No comments:
Post a Comment