RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU WALID JUMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji na kuomba dua pamoja na familia ya aliyekuwa kamishna wa huru wa Foradha Marehemu Walid Juma nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Walid amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini dare s Salaam.(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji na kuomba dua pamoja na familia ya aliyekuwa kamishna wa huru wa Foradha Marehemu Walid Juma nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Walid amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini dare s Salaam, kulia aliyesimama ni Naibu Kamishna wa TRA Bw. Rishad Bade .(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment