KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 22 October 2012


SIKU ROTARY CLUB MZIZIMA ILIPOPATA CHAKULA CHA MCHANA NA MAOFISA WATENDAJI WAKUU WA MAKAMPUNI


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Alexander Forbes, Sanjay Suchack (kushoto),akijadiliana jambo na ofisa mwenzake wa Benki ya Barclays Kihara Maina wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais wa Rotary Club of Dar es Salaam Mzizima Ambrose Nshala (hayupo pichani) na kufanyika katika Hoteli ya Serema Jijini Dar es Salaam jana.
Mwanachama wa Rotary Club Dar es Salaam Mzizima, Method Kashonda akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Rais wa Rotary Club of Dar es Salaam Mzizima Ambrose Nshala akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia maofisa watendaji wa makampuni tofauti nchini iliyofanyika Serena Hoteli, Dar es Salaam jana, kulia ni Mwenyekiti wa Pride Tanzania  Mzee Idd Simba
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Marina Njelekela akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Kutoka kushoto, Joe Eshun wa Deloitte, Rais wa Rotary Dar es Salaam Mzizima, Ambrose Nshala, Ofisa Mtendaji Mkuu wa The Foundation for Civil Society, John Ulanga na Audax Rukonge wa ANSAF wakijadiliana jambo katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment