PINDA AWASILI DODOMA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE VINAVYOANZA KESHO.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi baaada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Oktoba 30, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment