Mh.Kairuki Katika Hafla Ya Taasisi Zinazotoa Msaada Wa Kisheria
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki akiongea jana wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo za fedha kwa Asasi zinazotoa huduma ya msaada wa kisheria nchini, jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki akizindua awamu ya pili ya kuzisaidia kifedha Asasi zinazotoa huduma ya msaada wa kisheria nchini katika hafla iliyofanyika jana, jijini Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment