SULTANI QABOOS WA OMAN AMTUNUKU NISHANI YA HESHIMA RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE
Watoto wakitanzania ambao wazazi wao wanaishi na kufanya kazi katika ubalozi wa Tanzania nchini Oman wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Muscat jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya Sultani jijini Muscat jana jioni(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman jana jioni muda mfupi kabla ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa kwa heshima yake.
No comments:
Post a Comment