PINDA AHUDHURIA MAZISHI YA HOUSEKEEPER WA IKULU YA ARUSHA.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mtundza Ikulu ya Arusha (house keeper), Lucy Samillah katika ibada ya mazishiliyfanyika nyumbani kwa marehemu, Arsha Mjini.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga kwenye kaburi la Alikuwa mwanagalizi wa Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samilaah katika mazishi yake yaliyofanyika, Arusha.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwejka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House Keeper) Lucy Samillah katika Mazishi yaliyofanyika Arusha, Oktoba 31,2012. (Picha na Ofisi ya Wazieri Mkuu).
No comments:
Post a Comment