Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 34 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) Naibu Waziri wa Fedha Mh. Janet Mbene (Mb) akitoa hotuba ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza masuala ya  nidhamu katika kutumia na kusimamia rasilimali za nchi.
Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Juu ya NBAA.
 Mdau Chrespo Hezron (kulia) akipongezwa na mkewe Zai baada ya kuhitimu shahada ya juu ya NBAA wakati wa mahafali ya 34 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu.