RUFAA YA GODBLESS LEMA YASOGEZWA MBELE
| Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, ilisikilizwa na kusogezwa mbele. | 
| Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozana na aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema Mbunge kutokea mahakamani ambapo rufaa yake ilisikilizwa. | 
| Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari pamoja naWafuasi wa Chama hicho wakitokea mahakamani. | 
| Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema ikisikilizwa na kusogezwa mbele. | 
| Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari . | 
| Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, baada ya kusogezwa mbele. | 
| Hili nalo linasomeka vizuri . | 
| Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakibembea juu ya gari la Mbunge. | 
| Hili ni gari la aliekua mbunge wa CHADEMA Bw. Godbless Lema. | 
| Kikosi cha usalama nacho kilikua kwenye msafara huo, japokuwa hapakua na kazi yeyote ya kufanya bali kuhakikisha Amani inatawala. | 
| M4C likifuata msafara wa Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema wakitokea mahakamani | 
No comments:
Post a Comment