KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 6 October 2012


RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI EDMONTON, CANADA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
(PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kabla ya  kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya  Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika  ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo ukimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati ahihutubia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika  ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia zawadi ya kinyago kilichochongwa kwa jiwe toka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Edmonton, Dkt Hassan Katalambula na MC wa shughuli hiyo Dkt Sophie Yohani  katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya Watanzania katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na kamati ya maandalizi  katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012

No comments:

Post a Comment