JK Akutana Na H.H. Aga Khan
1: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
2: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
3: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
4&a5: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
6: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment