KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 23 July 2012

Rais Wa Kamisheni Ya Umoja Wa Ulaya Atembelea CCBRT
Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo jana kujionea shughuli za Hospitali hiyo. Serikali ya Tanzania na Umoja wa Ulaya umekuwa ukiichangia fedha nyingi hospitali hiyo.
Rais Barosso akisaini kitabu cha wageni.
Wagonjwa waliotibiwa na kupona fistula.

Mpango wa Upanuzi wa Hospitali ya CCBRT
Watoto Dema Emmanuel (6) na Goodson George (16) wakimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya ‘gari’

No comments:

Post a Comment