ATC Yazindua Safari Kwenda Comoro
![]() |
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya ATC wakitoa huduma kwa abiria wakati wa safari ya ndege hiyo kutoka Dar es salaam kwenda Moroni visiwa vya Comoro. |
![]() |
Mmoja wa wafanyakazi wa ndege ya shirika la ndege la ATC akitoa maelekezo ya vifaa vya usalama kwa abiria wa ndege hiyo |
![]() |
Moja ya eneo la mji wa Moroni visiwa vya Comoro linavyoonekana angani. |
![]() |
Hili ndilo jengo la kisasa la kupokea abiria na kusafirisha ililopo katika uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim Ahaya mjini Moroni Comoro |

![]() |
Ah!, Bi Kidude tulikuwa naye jamani katika safari yetu kama mnavyoona akipozi kwa picha na wafanyakazi wa unwaja wa ndege wa Moroni |
![]() |
Kaimu Mkurugenzi wa Biashara kampuni ya ndege ya ATC wanamvua Nguchuakimsindikiza Bi Kidude mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim leo mjini Moroni |
![]() |
Kamanda wa Fullshangweblog akipozi kwa picha kwenye uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim Ahaya mjini Moroni kulia ni Mdau Freddy Mwanjala wa Chanel Ten. |
No comments:
Post a Comment