Rais wa Liberia, Ellen Johnson-Sirleaf akikagua gwaride la heshima la kikosi cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuanza ziara ya siku nne nchini.
L-R: Ellen Johson-Sirleaf (Rais wa Liberia); Jakaya Mrisho Kikwete (Rais wa Tanzania) @JKNIA, Dar es Salaam, Tanzania. Julai 17, 2012
Picha zote zimepigwa na RICHARD MWAIKENDA "Kamanda wa Matukio"
No comments:
Post a Comment