KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 3 September 2012


PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi


Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole


Mjane wa Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.

Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole

No comments:

Post a Comment