Meya Wa Manispaa Ya Ilala Mh. Jerry Silaa Akabidhi Kisima Cha Maji, Na Vifaa Vya Michezo Gongo la mboto
Mh. Jerry Silaa akimkabidhi seti ya vifaa vya michezo, mmoja kati ya manahodha wa timu zilizoshiriki ligi ya mpira wa miguu katika kata ya Gongo la Mboto ijulikanayo kama Jerry Super 8. |
Baadhi ya wakazi wa kata ya Gongo la Mboto wakimsikiliza kwa makini Diwani wa kata yao Mh. Jerry Silaa (hayupo pichani), wakati akiwakabidhi vifaa vya michezo pamoja na kisima cha maji |
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Mh. Silaa akimkabidhi Bi. Hadija ambae ni mkazi wa mtaa wa Kilimo, ndoo ya maji aliyoyachota kutoka katika kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa mtaa huo |
No comments:
Post a Comment