KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 22 September 2012


CHADEMA v/s CCM: Itikadi za kisiasa zaigawa Familia katika mazishi ya mtoto

Katika hali isiyokua ya kawaida kumezuka mvutano kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Kichangani mjini Morogoro wakigombea kuzika maiti ya mtoto mdogo wa miezi saba baada ya familia kugawanyika katika itikadi mbili za kisiasa. 

Bofya video iliyopachikwa hapa (youtube) kusikia Devota Minja akiripotia ITV kuhusu tukio hilo.



No comments:

Post a Comment