KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday, 12 September 2012


PINDA AZINDUA MRADI WA NYUKI – BUGULULA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa ufugaji nyuki wa Bugulula wilayani Geita akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Septemba 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mradi wa ufugji nyuki wa kijiji cha Bugulula baada ya kuufungua Septemba 10, 2012. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Geita, Magalula Maglula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment