KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 23 September 2012


Kikao Cha Kamati Ya Maadili Cha CCM Chafanyika Leo Dodoma

 
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikartibishwa na Katibu Mkuiu wa Chama hicho Bw. Wilson Mukama katika ukumbi wa White House jijini Dodoma kuongoza kikao cha kamati ya Maadili cha CCM asubuhi hii. 

                                           Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment