SERIKALI YA CHINA YAKABIDHI KOMPYUTA NA VITABU KWA MAKTABA YA TAIFA (TLSB)
Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa (TLSB) nchini Dkt, Alli Mcharazo (kushoto) akifanya makabidhiano na Mwakilishi wa serikali ya China (kulia) Ling U jana jijinii Dar es salaam. ambapo Serikali ya watu wa China imekabidhi vitabu vya kusomea , kompyuta na makabati ya kuwekea vitabu katika maktaba ya taifa ya vitabu nchini (TLSB) (Picha na Mwanakombo Jumaa MAELEZO)
Katibu Mkuu wa wa wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi Selestine Gisimba (kushoto) wakikabidhiano mikataba na Mwakilishi kutoka Serikali ya China Ling U (kulia)
Mwakilishi kutoka Serikali ya China Ling U(kulia) Selestine Gisimba katibu mkuu wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi wakikabidhiana mikataba mara baada ya kusainiwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Selestine Gisimba akijaribu kutumia moja ya kaompyuta zilizokabidhiwa na Serikali ya watu wa China kwa ajili ya matumizi ya maktaba kuu ya taifa nchini,jana katika hafla ya makabidhiano jijini Dar es salaam Septemba 24, 2012. (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
No comments:
Post a Comment