Taarifa ya Habari - Septemba 22, 2012
Kaya 67 zimekosa makazi baada ya nyumba 137 walizokuwa wakiishi kuteketezwa kwa moto na nyingine kubomolewa kwa madai kuwa wananchi hao wamevamia na kuweka makazi kwenye msitu wa hifadhi wa geita wakijihusisha na ukataji miti ya kupasua mbao, uchomaji, mkaa, kilimo, ufugaji na uchimbaji madini hali iliyosababisha uhalibifu mkubwa wa mazingira.
No comments:
Post a Comment