KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Friday 3 August 2012

MRISHO NGASSA AANZA RASMI MAZOEZI AKIWA NA SIMBA

Mrisho Ngassa akiingia Makao Makuu ya klabu ya Simba kwa ajili ya kutambulishwa rasmi.
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha rasmi mshambuliaji wa timu hiyo, Mrisho Ngassa Makao Makuu ya klabu hiyo leo.
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange akimkabidhi jezi ya timu hiyo aliyekuwa mshambuliaji wa Azam FC, Mrisho Ngassa baada ya kujiunga rasmi na Wekundu wa Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili. Picha zote na Habari Mseto Blog.
Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa akivaa jezi ya Simba baada kujiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Azam FC.
Mrisho Ngassa akitabasabu baada ya kuvaa jezi ya Simba.
Gari alilopewa Mrisho Ngassa baada ya kujiunga na Simba.
Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa akiwa na wachezaji wenzake kwenye mazoezi yaliyofanyika katika ufukwe wa Coco leo.
Mrisho Ngasaa katikati akiwa katika mazoezi ya Simba leo.
Mrisho Ngassa akiwa katika Mazoezi ya Simba leo.
Ngassa akifanya mazoezi ya viungo.
Mrisho Ngasa akiteta jambo na Uhuru Suleiman baada ya mazoezi katika ufukwe wa Coco leo.
Mshambuliaji wa Simba Mrisho Ngasa akiwa ndani ya mchuma wake baada ya kusajiliwa na klabu ya Simba.

No comments:

Post a Comment