KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday, 7 August 2012


JK Kwenye Ziara Ya Kikazi Uganda

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga wenzie  wa Ndege za Serikali  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8, 2012
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania  Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo  kabla ya kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 8, 2012. Katikati yao ni Inspoekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Saidi Mecky Sadik  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8, 2012
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment