Shamra shamra za mkutano wa Chadema London Zimeanza
| Maandalizi kabla ya mkutano |
Shamra shamra za mkutano wa chadema utaofanyika leo london zimeshaanza kwa mujibu wa mdau wa Chadema London, Kamanda Cris Lukosi Mkutano utafanyika Thatched House Pub iliyopo Barking leo tarehe 07/08/2012 saa mbili usikU kamanda Godbless Lema atakuwepo kushuhudia ufunguzi wa tawi la chadema London
Kwa mawasiliano
CHRIS LUKOSI
No comments:
Post a Comment