KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday, 7 November 2012


WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa Kahama, James Lembeli (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum,Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi  ambaye pia ni Mbunge wa Ismani akiteta na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment