Kinana Atua Zanzibar Kushiriki Sherehe Za Kupongezwa Safu Mpya Ya Uongozi Wa Ccm Kitaifa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Manaibu wake, Mwigulu Nchemba (Bara) na Vuai Ali Vuai (Zanzibar) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya kushiriki sherehe za kupongezwa safu mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa, uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika leo Viwanja vya Demokrasia (KibandaMaiti) mjini Zanzibar
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa Skafu na Chipukizi wa CCM, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya kushiriki sherehe za kupongezwa safu mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa, uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika leo Viwanja vya Demokrasia (KibandaMaiti) mjini Zanzibar. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na Watatu ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya kushiriki sherehe za kupongezwa safu mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa, uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika leo Viwanja vya Demokrasia (KibandaMaiti) mjini Zanzibar. Wengine Kuhsoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Yusuf na Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NRC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
(Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment