RAIS KIKWETE AMWAPISHA MJUMBE WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha mjumbe wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu John Mkwawa pamoja na Katibu wa Tume ya Kurekebisha sheria Bi.winfrida Beatrice Korosso pichani chini katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Pichani mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu John Mkwawa(8724) pamoja na Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bi.Winfrida Beatrice Korosso(8734) Wakila kiapo mbele ya Rais(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment