Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha majaji wawili wa Mahakama ya Rufaa katika sherehe zilizofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Walioapishwa na Rais leo ni Mhe.Jaji Bethuel Mmila na Mhe.Jaji Ibrahim Hamisi Juma.Pichani Majaji hao (8648) Bethuel Mmila na jaji Ibrahim Hamisi Juma(8657) Wakila kiapo mbele ya Rais.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment