Naibu Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Aongea Na Wadau Wa Michezo
Wadau wa Sekta ya Michezo wakiwa katika picha ya pamoja katika Mkutano wa kujadili Sera ya Michezo.Wanne Kutoka kushoto waliokaa ni mgeni rasmi Bi. Sihaba Nkinga.Mkutano huo umefanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Wadau wa Sekta ya Michezo katika Kikao cha kujadili Rasimu ya Sera ya Michezo pamoja na Itifaki ya kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu katika Michezo.
Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM.
No comments:
Post a Comment