MAHAFALI YA CHUO KIKUU HURIA SINGIDA KATIKA PICHA.
Maandamano ya wahitimu wa chuo kikuu huria mkoa wa Singida ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya chuo hicho.
Mkurugenzi wa chuo kikuu huria kituo cha Singida Bw. Mbaraka Msangi akitoa taarifa yake kwenye kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya chuo kikuu huria.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya chuo kikuu huria Tanzania.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akimkabidhi mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu huria Tanzania kituo cha Singida.
Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu huria Tanzania mkoa wa Singida,wakishiriki kutoa burudani kwenye kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya chuo hicho.
Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu huria Tanzania kituo cha Singida.
Waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma katika kutafuta picha nzuri kwa ajili ya magazeti yao kama anavyoonekana Damiano Mkumbo,akipiga picha kwa umakini mkubwa.(Picha zote na Nathaniel Limu).
No comments:
Post a Comment