KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday, 29 November 2012


NMB YADHAMINI HAFLA YA WAWEKEZAJI KATIKA KILIMO TANZANIA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhe. Mary Nagu (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB Bw. Kees Verbeek pamoja na Meneja Mawasiliano wa NMB Bi. Josephine Kulwa katika hafla ya wawekezaji katika Kilimo iliyofanyika jiji Dar es Salaam
Baadhi ya wawekezaji katika kilimo wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek

Bw. Pal Stormorven wa YANA Tanzania akiteta jambo na Mwenyekiti wa SAGCOT Centre Ltd Bw. Salum Shamte .
Mwekezaji katika Kilimo (wa pili kushoto) Bw. Harish Bhatt akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek (kushoto) Maafisa wa benki Nancy Asman (kati) na Ezekiel Ligate pamoja  na Meneja Mawasiliano wa NMB Bi. Josephine Kulwa.Mwekezaji katika Kilimo (wa pili kushoto)  Bw. Harish Dhutia akiwa katika picha ya pamoja naMkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek (kushoto) Maafisa wa benki Nancy Asman (kati) na Ezekiel Ligate pamoja  na  Meneja Mawasiliano wa NMB Bi. Josephine Kulwa.

No comments:

Post a Comment