Rais Jakaya Kikwete akipokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kurejeamakitokea Arusha alikokuwa katika ziara ya siku mbili ya kikazi na kabla ya hapo alikuwa Dodoma ambako alichaguliwa tena kuongoza CCM kwa miaka mingine mitano
No comments:
Post a Comment