Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Afuturisha Iringa , Aomba Ushirikiano Katika Sensa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma akila futari na mmoja wa walemavu wa ngozi (albino) katika hafla aliyoiandaa Ikulu jana
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma aliwakutanisha waislamu katika hafla aliyoiandaa Ikulu ndogo mjini Iringa huku akiomba ushirikiano wa dini zote katika zoezi la sensa na mchakato wa katiba.
No comments:
Post a Comment