MARAIS KATIKA MKUTANO WA SADC (TROIKA) JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto) na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia (kulia) na Rais Dk. JakayaMrisho Kikwete wakiwa kwenye picha ya pamoja mara ya kusalimiana walipo wasili kwenye Hotel ya Hyatt Regency kwa ajili ya mazungumzo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,leo
(PICHA NA ANNA ITENDA- MAELEZO)
Rais Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto)wakizungumza na Rais wa Hifikepunye Pohamba wa Namibia (kulia) kwenye Hotel ya Hyatt Regency mjini Dar es Salaam wakisubili mazungumzo ya ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,leo.
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(kulia) na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakizungumza kwenye hotel ya Hyatt Regency wakisubili ya asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,leO.
Marais wote wanne kutoka (kushoto) Rais Amarndo Guebuza wa Msumbiji,wa pili kushoto ni Rais wa Hifikepunye Pohamba wa Namibia`na wakwanza kulia ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayefuata kulia ni Mwenyeji wa mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakisubiri kuingia kwenye mkutano kwenye hotel Hyatt Regency ya mjini Dar es Salaa, leo
No comments:
Post a Comment