KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 7 July 2012


JK Atembelea Maonyesho Ya Sabasaba



Akiwa ameambatana na waziri wa maliasili,Mh Kagasheki na waziri wa viwanda na biashara Mh Kigoda,rais ametembelea banda la maliasili

No comments:

Post a Comment