KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 9 September 2012


Picture
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda. (picha: IKULU)
Picture
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia waraka wenye makubaliano kabla ya yeye na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda. (picha: IKULU)


Source: http://www.wavuti.com/#ixzz260nge9Hr

No comments:

Post a Comment