KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 10 September 2012


CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa Mwangosi

TAWI LA UK
CHADEMA TAWI LA UK LACHANGIA HARAMBEE YA KUMSAIDIA MJANE WA MWANGOSI
Tawi la chadema UK jana walijiunga na wanaharakati wengine duniani kote kumchangia mjane wa mwandishi aliyeuawa DAUDI MWANGOSI,(R.I.P)
Mchango huo amekabidhiwa Mwenyekiti wa Mjengwa Blog kiasi cha shs 1,012,500 cash

Wako katika ujenzi demokrasia ya kweli na uhuru wa ukweli

Chris Lukosi

Mwenyekiti  - Tawi la UK

No comments:

Post a Comment