KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 20 September 2012


RUFAA YA LEMA YASOGEZWA MBELE HADI OKTOBA 2 MWAKA HUU.

 Picha juu na chini  ni Msafara wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema ukitokea mahakamani mkoani Arusha kuelekea ofisi za chama huku ukisindikizwa na umati wa wafuasi wa CHADEMA baada ya kuahirishwa kwa kesi inayomtuhumu.
Gari ya Godbless Lema ikisukumwa na wafuasi wa CHADEMA kuelekea ofisi za Chama mkoani humo. (Picha na http://woindeshizza.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment