KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 17 September 2012


RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI JOACHIM CHISSANO NA KATIBU MKUU WA SADC DR.THOMAS SALOMAO.


Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano (wapili kushoto) pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Dr. Thomas  Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment