KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 25 September 2012


MAONYESHO YA SARAKASI YA TIGO MAMA AFRICA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi wa Mancom Center Costantine Magavilla akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuanza kwa maonesho ya Tigo Sarakasi Mama Afrika  yatakayofanyika kwenye kituo Cha Sanaa Cha Mwalimu Nyerere (New World Cinema) Mwenge jijini Dar es Salaam, kulia ni Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo Gaudence Mushi na Afisa habari wa Tigo Alice Maro maonyesho hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 27 Semptemba 2012 hadi Novemba 4,2012
Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo Gaudence Mushi (kushoto) akimpa mkono mbunifu wa sanamu Issack Shaa wakati wa maonesho ya baadhi ya vifaa vitakavyotumika kwenye maonyesho hayo, wengine ni Mkurugenzi wa Mancom Costantine Magavilla na Afisa habari wa Tigo Alice Maro
Mamba akionyesha umahiri wake
PICHA NA PHILEMON SOLOMON

No comments:

Post a Comment