KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 14 January 2012

MKUTANO WA WADAU WA SENSA


Katibu Mkuu katika Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah
akiongea na wadau mbalimbali Jan,13,2012 jijini Dar e salaam kuhusu
maendeleo ya maandalizi ya SENSA ya watu na makazi nchini
itakayofanyika August 26,mwaka huu. (Pichani kushoto mwanamke)
ni Mwakilishi wa shirika la (UNFPA) nchini anaeshughulikia hesabu
za watu na makazi Dkt, Julitta Onabanjo..


 Baadhi ya maafisa wa mkutano wa wadau wa maendeleo
ya sensa ya watu na makazi wakifuatilia taarifa na mkutano huo
Jan,13,2012 jijini Dar es Salaam, Sensa hiyo itafanyika August 26, 2012,



Baadhi ya wadau wanaoshughulikia maendeleo ya maandalizi
ya SENSA ya watu na makazi nchini itakayofanyika August,26, mwaka
huu wakijadiliana katika kikao hicho Jan 13,2012 jijini Dar es Salaam
wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha Ramadhan Khijjah
(hayupo pichani). Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment