KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday 18 January 2012

HAKUNA AMBAYE HAKUMUAGA MH.REGIA MTEMA






Fikiria mtu yeyote mashuhuri,viongozi na watu wote,kutoka kada zote walikuwepo Karimjee, Nyumbani Tabata, kanisani Segerea na hata hospitalini.changanya na waliokuwa wakimuaga kupitia luninga na mitandao kama hii,nani hakumuaga Mh.Regia? HAKUNA.Tutazidi kukuwekea hapa picha za wengi waliojitokeza kumuaga  hapo jana na hata leo kijijini Ifakara.

No comments:

Post a Comment