KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday 11 December 2011

' MO' Dewji's ' Kiduku anapofika jimboni kwake Singida



Ndugu zangu,

Kuna wanaompenda ’ Mo’ Dewji kwa jinsi alivyo pia. Kwenye jamii anaonekana hana makuu. Huo ni mtaji muhimu kwa mwanasiasa. Kwenye kucheza ’ Kiduku’ yumo kwenye kushangilia Taifa Stars yumo, tena tumbo wazi! Na jimboni kwake ana vya kuonyesha kuwa amefanya. Kwa nini akose kura?

No comments:

Post a Comment