KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 1 October 2012


WAFANYAKAZI WA BARCLAYS WAFANYA BONANZA LA MICHEZO.


Wacheza  mpira kikapu  wa Benki ya Barclays Tanzania wakichuana
ili kumpata mshindi  wakati wa bonanza la michezo la kila mwaka la
benki hiyo katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Barclays Tanzania, wakishindana
katika mchezo wa kuvuta kamba katika bonanza la michezo la kila mwaka
la benki hiyo, katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki.
Wasakata kabumbu wa Benki ya Barclays Tanzania, Paul Abduel
(kushoto) na Stanslaus Mkondya (kulia) wakigombea mpira katika bonanza
la michezo la kila mwaka la benki hiyo, katika Viwanja vya Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wafanyakazi wa Barclays wakiselebuka katika bonanza la
Siku ya Michezo katika Viwanja vya UDSM jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina
(katikati) akipozi kwa picha na timu iliyoibuka kidedea katika mchezo
wa soka wakati  bonanza la Siku ya Michezo katika Viwanja vya UDSM
jijini Dar es SalaamMkuu wa Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Tunu Kavishe
akizungumza wakati wa bonanza hilo ambapo wafanyakazi hao walishiriki
michezo ya kuvuta kamba, kabumbu, wavu, kikapu na kusakata dansi.

No comments:

Post a Comment