PAMBANO LA SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE ZATOKA SARE YA 1-1
Golikipa wa Yanga, Yaw Berko akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Amri Kihema na kuhesabu bao la kwanza kwa Simba. (Picha na Habari Mseto Blog)
CHINI NA JUU; Beki wa Yanga, Stephano Mwasika akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Simba, Nassoro Masoud 'Cholo' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova akiangalia hali ya usalama wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara kati ya Simba na Yanga unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Yanga
No comments:
Post a Comment